Bondia Rashidi Matumla (kulia) na Maneno Osward wakioneshana ufundi wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.(Picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/

Rashid Matumla (Snake Man ) kushoto na maneno Osward (mtambo wa Gongo) kulia wakiwa bize na kurushiana ngumi.Pambano lilikuwa zuri na la kusisimua ila mpaka mwisho wa mchezo kila mmoja alitoka ulingoni akiwa na pointi sawa na mwenzake,hivyo iliamuliwa kuwa kwa kuwa wamefungana pointi hakuna aliyekuwa mbabe zaidi.