Hallow wakuu

hizi ni picha za team ya Darts iliyokuwa mabingwa wa mkoa wa Dar es salaam

Kiongozi wa team ya Poli Barrack ya Temeke Evarist Mushi akiwa baadhi ya wachezaji wenzake wakipokea kombe na shilingi laki sita toka kwa Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Desdery Koka katika mashindano ya Darts ya Mkoa wa Dar Es Salaam yaliyomalizikaa jana kwenye ukumbi wa Urafiki Club jijini Dar es salaam.