Kipa wa Zimbabwe, Chigova George akiruka juu kuokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake huku mshambuliaji wa Kilimanjaro Stars, Hussein Javu akiwania mpira huo.
Mshambuliaji wa Kilimanjaro Stars, Mrisho Ngasa akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Zimbabwe, Eric Mudzingwa katika mchezo wa Kombe la Chalenji uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.