Mchezaji Amir Hamad wa Zanzibar Heroers akimtoka mchezaji wa timu ya Somalia Kassim Ali Mursal wakati timu hizo zilipopepetana kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam katika michuano ya kombe la TUSKER CHALLENGE CUP 2011, Timu ya Zanzibar Heroers imeifunga Somalia magoli 3-0.