Hali hii ilijitokeza jana kwenye mazishi ya kiongozi wa Korea ya Kaskazini bwana Kim Jong-Il  alipokuwa akiagwa na raia wa nchini mwake,haikuwa rahisi kuamini kwamba kuna wanaume wanalia mpaka wanazimia,wanaume wanalia mpaka kubebwa na kina mama ndio usiseme.