Mbega wekundu wa Udzungwa ni adimu kupatikana sehemu nyingine duniani isipokuwa Bonde la Kilombero mkoani Morogoro ambako walinaswa na kamera yetu wiki hii. (Na John Nditi).