Mtoto mpya kabisa mwenye umri wa siku kumi na mbili duniani tumemkaribisha rasmi katika kijiji chetu...Karibu sana bidada Fatma Salim katika kijiji chetu chenye kila aina ya madikodiko ya dunia.
Bidada Fatma Salim akiwa amepozi kupata picha baada ya kumaliza kupata msosi wa usiku(maziwa ya mama).Bidada Fatma ana umri wa siku kumi na mbili duniani..tumefurahi kupata mkazi mpya kijijini kwetu.Wazazi wa bi Fatma wanawashukuru wote waliomuombea dua kwa kujifungua salama..