Leo 19 Sept. Ndio siku ya kuzalia Ras Makunja

Mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja
Kiongozi wa Ngoma Africa band almaarufu "FFU ughaibuni".
Alizaliwa siku kama ya leo 19.September, jijini Dar-es-salaam.