Habari zenu wapenzi na wasomaji wa Maganga One Blog.
Kutokana na sababu za kiufundi kwenye jengo ninaloishi inanipa wakati mgumu kuwepo hewani kwa kipindi kisichojulikana.
Na hii inatokana na kukatika kwa baadhi ya nyaya za umeme ambazo zinashirikiana na moderm yangu na kusababisha mimi kukosa Internate.Najitahidi kadri niwezavyo kujaribu kuwasiliana na wataalamu ambao wataweza kufanikisha hili ila kutokana na wingi wa kazi zao nimewekwa mtu wa mbali katika orodha za wateja watakaokuja kurekebishiwa matatizo hayo.

Naomba tuwe na uvumilivu kwani matatizo ya kiufundi yanajulikana.Napenda kuwapongeza wale wote ambao wameguswa kiasi kwamba wananitumia ujumbe kwa njia ya email kuniuliza suala la habari.Nawahakikishia kurejea pindi tatizo hili likipata ufumbuzi.
                                                                 Maganga One.

                                                        +32 49 222 33 25
                                                        +255 715 75 23 93

                                                         email- magangaone@gmail.com
                                                         twitter- https://twitter.com/magangaone

Pamoja waungwana.