Mchezaji mkongwe wa Liverpool Steven Gerrard akiachia mkwaju mkali uliomshinda golikipa wa Manchester United na kuandika goli la kwanza kwa Liverpool.
Kwa furaha Steven Gerrard akishangilia bao lake huku wenzake wakifuata kumsapoti
                        Akishukuru Mungu kwa kunyanyua mikono yake juu
Rafael wa Manchester United akishangilia bao la kusawazisha kwa Manchester United
Mchezaji mpya wa Manchester United Robin Van Persie akiandika bao la pili kwa njia ya penati na kuipa timu yake ushindi dhidi ya Liverpool.
                         Akinyoosha kidole juu kuashilia ushindi wa goli lake dhidi ya Liverpool..mpaka mwisho wa mchezo Liverpool 1 - 2 Manchester United.