Kagawa wa Manchester United akijaribu kuipangua ngome ya Tottenham Hotspurs
Kocha wa timu ya Tottenham na baadhi ya wachezaji wa akiba wakishangilia ushindi dhidi ya timu ya Manchester United..mpaka mwisho wa mchezo Manchester United 2- 3 Tottenham.