Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akivalishwa skafu baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Buzwagi, Kahama kwa ziara ya siku moja wilayani humo Septemba 8, 2012. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Shinyanga, Haisi Mgeja.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia) akisalimiana na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Buzwagi wilayani Kahama kwa ziara ya siku moja wilayani humo, Septemba 8, 2012. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Azza Hilal na watatu kulia ni mbunge wa Kahama, James Lembeli.
Wasanii wa Khama wakicheza ngoma ya Waswezi wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Buzwagi, Kahama kwa ziara ya siku moja Septemba 8, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).