Bidada Wema Abraham Sepetu akijiachia vilivyo ndani ya serengeti Fiesta hapo jana usiku ndani ya jiji la Iringa.
Toto la Kinyamwezi Shilole likifanya mambo ndani ya Fiesta jijini Iringa usiku wa jana.
 Aunt Ezekiel akiwafurahisha washabiki kwa staili yake kama unavyomuona
Ray huyoooo akikamua  
 Diamond akikamua jukwaani
 Sheta akimchezesha Diamond
 Msanii funga kazi wa Hip Hop, Roma Mkatoliki akikamua jukwaani kwa staili yake ya kidole cha mwisho juu, Tamasha la Serengeti Fiesta 2012, ndani ya uwanja wa Samora mjini Iringa
Msanii wa Kizazi kipya Ben Paul akifanya makamuzi yake ndani ya Uwanja wa Samora mjini Iringa katika tamasha la Serengeti Fiesta 2012
 Linah akiimba mbele ya mashabiki wake usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2012 mjini Iringa
Uzao wa THT, na huyu ni mwadada machachari anaekuja kwa kasi Rachel, akipagawisha juu ya jukwaa madhubuti la SERENGETI FIESTA 2012 ndani ya uwanja wa Samora mjini Iringa