Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki katika majadiliano kabla ya kusainiwa Mkataba husika.

 Ujumbe wa Tanzania ukiwa katika ofisi za Ubalozi wa Tanzania,
Berlin

Mhe. Mwakyembe (Mb) akimkabidhi zawadi Waziri mwenzake
mara baada ya Mkataba kusainiwa.

Mhe. Waziri wa Mwakyembe (Mb) akibadilishana Mkatana
na Waziri anayeshughulikia masuala ya Usafiri wa Ujerumani mara baada ya
Mkataba huo kusainiwa

                         Mhe. Waziri Mwakyembe (Mb) akisaini Mkataba
                    Mhe. Waziri Mwakyembe (Mb) akijiandaa kusaini Mkataba.