FFU UGHAIBUNI WATOA MKONO WA IDD EL FITR


Bendi maarufu ya muziki wadansi barai ulaya Ngoma Africa Band aka "FFU Ughaibuni"  yenye makao yake nchini Ujerumani, Inawapa mkono wa IDD el Fitr
wadau wote wa ndani na nje ya Tanzania.
Sherehekeeni sikuu ya EID MUBARAKA kwa amani na furaha

EID MUBARAKA ! EID MUBARAKA ! EID MUBARAKA
msikose kusikiliza at www.ngoma-africa.com 
Add caption