Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiondoa kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same.

 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiondoa kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same.
 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria kufungua jengo moja wapo katika chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akitoka katika moja ya jengo katika chuo cha Ufundi Gonja-Mheza muda mfupi baada ya kuweka jiwe la msingi na kukata utepe kuaashiria kuanza kwa  ujenzi wa chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same. Picha zaidi BOFYA HAPA