Assalam aleykum.
Ndugu Ally Ahmad Mlangi,al maarufu kama Ally Kaida wa kitongoji cha Mol nchini Ubelgiji anatangaza kuwa siku ya jumamosi ya tarehe 6/9/2014 saa nane mchana atafanya kisomo cha kumrehemu dada yake kipenzi aliyetangulia mbele ya haki.Marehemu dada yake ambaye alijulikana kwa jina la Maryam Ahmad (Mlangi) alifariki tarehe 30/08/2014 nyumbani Afrika.

Kisomo kitaanza saa nane kamili sikuhiyo ya tarehe 06/09/2014 jumamosi,kisomo kitafanyika kitongojini Mol,jinsi ya kufika mahala pa kisomo
mnaweza kuwasiliana moja kwa moja na mfiwa kwa simu nambari +32 049 394 0250.
Kwa yeyote atakayeliona tangazo hili hatopata dhambi kumuarifu na mwenzie.