Walimu waliokuwa wakiendesha mafunzo kwa watoto hao wakiwa katika picha ya
pamoja. Kutoka kushoto ni Beatha Qambayot, Zilpa Masunga, Mtendaji Mkuu
wa Olimpiki Maalumu Tanzania, Frank Macha na Alphonsia Mwairafu.

Walimu hao wakiwa wameshika mipira ya kufundishia.

Watoto wenye ulemavu wa akili wakiwa katika picha na  wazazi, pamoja na walimu
wao baada ya kumaliza mafunzo  ya mwezi mmoja ya Olimpiki Maalumu
Tanzania  yaliyofikia tamati wilayani Temeke Dar es Salaam leo.