Wananchi wakiwa eneo la ajali.
AJALI ilitokea siku ya jana mchana wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro baada ya gari dogo lenye namba za usajili T653 BZR kuingia uvunguni mwa basi la abiria la Happy Nation. Abiria wote waliokuwemo kwenye gari dogo wanadaiwa kupoteza maisha baada ya kupata ajali. Chanzo cha ajali hiyo hakikufahamika.

 Muonekano wa gari dogo yenye namba za usajili T653 BZR baada ya kuingia chini ya uvungu wa basi la Happy Nation wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro mchana wa jana.
Muonekano wa karibu wa gari dogo baada ya kupata ajali siku ya jana.