Baada ya sala ya Eid kuisha waislamu wakipeana mikono ya furaha

Mash'Allah
 Shekh Yusuf akikumbatiana na mmoja wa waumini msikitini baada ya sala ya Eid
 Imam wa msikiti wa Mol akipeana mikono na Al-Haj mtarajiwa Maganga One.
 Maganga One kushoto akipata picha ya pamoja na waumini wa msikiti wa Mol
 Baadhi ya waumini wa msikiti wa wana Mol wakipata picha ya pamoja baada ya sala ya Eid
Mstahiki Meya wa kijiji cha Olmen na Shekh wa Balen Mh: Mohammed akiwa nyuma ya air force 2 mara baada ya sala ya Eid.