Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa makini kabisa kusikiliza mawaidha yaliyokuwa yakiendelea kutolewa na baadhi ya mashekh wetu
 Shekh Abdillah kushoto toka Misri nae alikuwa miongoni mwa mashekh waliotoa mawaidha
Shekh mkubwa toka jijini Brussel shekh Ahmad alifungua shehere za Eid kwa kusoma Quran tukufu na kutoa hotuba nzuri sana iliyopendwa na wageni wote waliokuwa wakimsikiliza

 Kwa umakini zaidi wageni wetu wakiendelea kusikiliza hotaba za Eid
 Wenyeji wa shughuli za Eid nao wakiwa makini kusikiliza hotaba za Eid


Shekh Abdillah akitoa hotuba ya Eid 

 Baadhi ya wageni waalikwa walihudhuria katika sherehe za Eid wakiwa makini kusikiliza hotaba 
Kwa upande wa kinamama na watoto wakiwa nao walikuwa makini kusikiliza mawaidha ya Eid 
 Dj Pk ndiye aliyekuwa akiratibu Qasweeda na sauti za watu kusikika vizuri ukumbini
 Shekh Abdillah kutoka Misri akitoa mawaidha mazuri siku  katika Eid
 Bidada Tillah,Bidada Kelly na mama Tillah kulia wakiwa makini katika kusikiliza mawaidha ya Eid.
 Wageni wetu toka nchi mbalimbali walihudhuria sherehe za Eid



PICHA ZAIDI ENDELEA KUSHUKA CHINI