Shekh Hassan akisoma dua huku waumini wakiitikia dua hiyo hapo jana katika kitongoji cha Liege nchini Ubelgiji,dua hii ilikuwa makhususi kwa ajili ya dada yetu Fei Furaha Baraka aliyefariki siku chache zilizopita nchini Ubelgiji.mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa siku ya jumatano kuelekea nyumbani Africa.

Waumini wakiendelea na kisomo cha dada yetu  hapo jana

 Watu walioshiriki kisomo cha dua ya dada yetu wakisikiliza mawaidha yaliyokuwa yakitolewa na Shekh Hassan
 Kila mmoja alikuwa na huzuni na wengine mawaidha yalikuwa yakiwaingia nyoyoni
Watu wengi walifika katika kisomo hicho kutoka sehemu mbalimbali

Kwa upande wa kina mama hawa ni baadhi tu ya sehemu ya waliohudhiria kisomo hicho hapo jana...