Wachezaji wa Manchester United wakishangilia ushindi wa goli lao dhidi ya Everton leo.Machester United ilishinda goli 2-1
Wachezaji wa timu ya Chelsea Fc nao wakishangilia ushindi wao dhidi ya timu ya Arsenal leo hii baada ya kuwashida kwa goli 2-0