Bendi maarufu ya Muziki wa dansi Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchini
Ujerumani, inawapa mkono wa Eid El Hajj wadau na wapenzi wote wa Ngoma Africa band popote walipo,Ngoma Africa Band inawatakia siku kuu njema ya Eid tusherehekee sote kwa Amani na Upendo,Pia usikose kupata burudani kamili ya muziki at  www.ngoma-africa.com