Mkali wa Bongo Flava anayechipukia kwa kasi ya juu Ommy Dimpoz anatarajiwa kufanya show ya mwaka ndani ya jiji la Rotterdam nchini Uholanzi.Promoter wa show hii Zaituni Biboze ambaye amethibitisha ujio wa mkali huyo,amewaomba wapenzi wote wa bongo flava kuja kutoa sapoti kwa muziki wao wa nyumbani. Kiingilio ni euro 25 na kwa wale VIP watatoa euro 35 tu. wahi mapema kufaidi bongo flava ndani ya ukumbi,Djs ni walewale wakali wa Holland Dj Khatib Must na Dj Kee.