Pichani vijana wakionekana na nyuso za furaha  wakifurahia jambo fulani,,tatizo lililopo ni kwamba usalama wao ni mdogo sana kwa jinsi wanavyotembea pembezoni mwa barabara ambayo ni nyembamba na hatari kwa wapita njia hao.
 Hapa napo kila mmoja anaonekana kuwa na haraka ambayo athari yake ni kubwa..ukiangalia gari ndogo inataka kuipita gari kubwa huku mwendesha pikipiki akiwa anashangaa,
Pichani watembea kwa niguu kulia na kushoto wakitembea ndani ya barabara kitu ambacho sio kizuri kwa usalama wao na maisha yao.serikali iangalie upya suala zima la watembea kwa miguu na waendesha baiskeli na pikipiki.[picha zote na J.M. wa Maganga One]