WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mh. Haroun Ali Suleiman (katikati),akiwa na baadhi ya uongozi wa Chuo
Kikuu Zanzibar wakati wa mahafali ya 12 yaliyofanyika katika viwanja  vya
chuo hich Tunguu Wilaya ya Kati Unguja

WAHITIMU wa fani 
mbalimbali katika mahafali ya 12 ya Chuo kikuu cha Zanzibar (ZU),wakiwa kwenye
gwaride lililoandaliwa kwa ajili ya kuwatunuku shahada mbalimbali huko katika
viwanja vya chuo hicho Tunguu jana. 
BAADHI ya wazee wa wanafunzi wa Chuo kikuu Zanzibar (ZU) wakiwa katika uwanja
wa mahafali ya 12 wakihudhuria mahafali hayo yaliyofanyika huko Tunguu.

BAADHI ya wazazi wa wanafunzi wa Chuo kikuu Zanzibar (ZU) wakiwa katika uwanja
wa mahafali ya 12 wakihudhuria mahafali hayo yaliyofanyika huko Tunguu.


SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mh.Pandu Ameir Kificho (kushoto),akiwa na baadhi ya

uongozi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar wakati wa mahafali ya 12 yaliyofanyika chuoni 
huko, wapili kushoto Makamu Mkuu wa chuo hicho Pr.Mustafa Roshash. Picha zote na Abdallah 
Masangu