Moja ya vivutio vinavyopamba mji wa Antwerpen kipindi hiki cha Christmass ni taa na mapambo yaliyofungwa pembezoni mwa barabara kama unavyoziona.
Usafi wa barabara na miundo mbinu ni moja ya kivutio kwenye miji mikubwa duniani,pichani basi la abiria likichanja mbuga jiji la Antwerpen nchini Ubelgiji.
[Picha na Jamal wa Maganga One Blog]