ASSALAM ALEYKUM.
Ndugu Wapendwa tunapenda kuwaalika Hitma ya baba wa mwenzetu pamoja na ndugu yetu Matanda siku ya jumamosi tarehe 28/02/2015 saa sita mchana.
Mahala ni Antwerpen[LINKEROVER] kwenye ukumbi,na anuani ni kama ifuatavyo-

                 Louispoul boon straat 21
                 2050,Linkerover
Antwerpen.

Tafadhali unaombwa ukiliona tangazo hili mjulishe na mwenzio