Zari the Bosslady yupo nchini alikokuja  kumsalimia mpenzi wake, Diamond 
Platnumz.  Hivi karibu kulianza kuzuka maneno kutoka  kwa baadhi ya watu kuwa wana mashaka 
na kama kweli mrembo huyo wa Uganda ni  mjamzito.  Lakini kwa mujibu wa picha iliyosambaa 
mtandaoni leo,
 ni kweli Zari anatarajia kuwa mama kwa mara ya nne.  Kwenye picha hiyo, Zari anaonekana akiwa  amevaa gauni jekundu ambalo linaonesha  wazi jinsi mimba yake ilivyokuwa.  Picha hiyo imevuta hisia za wengine  akiwemo Ray C aliyeipost kwenye 
Instagram na kuwataka mashabiki wake wamtaje baba wa mtoto huyo