Timu mbili ambazo ni watani wa jadi nchini Ubelgiji Fc Antwerpen kushoto na Liege Fc wakikaguliwa kabla ya mpambano kuanza,timu hizo zimeshindwa kuonyeshana ubabe baada ya kutoka sare ya 1-1 katika mchezo uliochezwa mjini Antwerpen.

Kikosi cha Liege ambacho kiliwabana mbavu vyema Antwerpen Fc nyumbani kwao.

Kikosi cha Antwerpen Fc ambacho kimekubali kulazimishwa sare uwanja wa nyumbani na Fc Liege.