Pichani baadhi ya wachezaji wa timu ya Mol wakiwa mazoezini jioni ya leo.Kikosi hiki kinajianda vyema tayari kushiriki mashindano ya summer time yatakayoanza hivi karibuni.