Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akihutubia wakati akifungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama waJumuiya ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi waMikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha.

 Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt.Bilal.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akiagana na baadhi ya viongozi, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo,baada ya uzinduzi wa Kongamano hilo. 

Picha na OMR