Katibu Mku wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM,Rais Mstaafu wa awamu ya nne,Dkt Jakaya Kikwete mapema leo asubuhi ndani ya uwanja wa Namfua, kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa CCM mkoani Singida. 

 Msafara
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli
ukiwasili ndani ya uwanja wa Namfua mapema leo asubuhi kwenye kilele cha
maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa CCM mkoani Singida 

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Rais Dkt John Pombe
Magufuli mapema leo asubuhi ndani ya uwanja wa Namfua, kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa CCM mkoani Singida 

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye
akimkaribisha Rais Dkt John
Pombe Magufuli mapema leo asubuhi ndani ya uwanja wa Namfua, kwenye
kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa CCM mkoani Singid,pichani
kati ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana.