Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jul 10, 2016

SUMMER TIME NA MAGANGA ONE IN EUROPE

Moja ya kanuni kubwa ya maisha ni kuwa na furaha wakati wote,ukiwa na furaha utajiongezea umri mrefu na kuwa na amani ndani ya nafsi yako.Maganga One Blog jana ilikuwa ufukweni mwa bahari katika mapumziko ya mwishoni mwa wiki
Maganga One akiwa na Katibu wa UN Mohammed Mwalimu na familia zao jana fukweni za bahari.Barani Ulaya kipindi cha July ni kipindi cha jua kali hivyo watu wengi hupendelea kila wanapopata fursa kutembelea fukweni kwa mapumziko na kuburudika kwa  upepo wa bahari
Katibu mkuu Mohammed akifungua kinywaji mara baada ya mizunguko ya ufukweni
Beautiful girls and Boys with Maganga One
Maganga One Blogger akiwa na rafiki zake wakibadilishana mawazo ufukweni mwa bahari
Ukipenda watoto utapenda Amani,na ukipenda Amani utapenda watoto,tuwapende sana watoto wetu ili nao waje kutupenda tukijaaliwa kufika maisha ya uzeeni.Pichani ni watoto w familia tofauti fukweni za bahari  wakicheza kwa pamoja 
Come On..Come On Maaaan!!
Moja ya furaha ya maisha ni kuwa na watoto na kila unapowapa thamani watoto na kuwapenda huwa wanajihisi furaha pia.Maganga One,Juma Mbio na Mohammed wakiwa na watoto fukweni mwa bahari jana 

Sharon,Cherie and Talha  jana fukweni mwa bahari
Raha ya Ice Cream iliwe kipindi cha jua kali
Wasichana wakiwa katika vazi la Hijab ndani ya Ulaya
Maganga One Blogger akiwa na kijana wake Rankeem Maganga One
{In Allah We Trust}
Gentlemen somewhere in Europe
Umeonaa eeh???

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP