Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Aug 16, 2016

KAIMU KAMISHNA MSAIDIZI WA SHIRIKA LA MAENDELEO YA PETROLI KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI ATEMBELEA ENEO LITAKAPOJENGWA GATI KWA AJILI YA KUSHUSHIA MAFUTA GHAFI MKOANI TANGA.

KAIMU
KAMISHNA MSAIDIZI WA SHIRIKA LA MAENDELEO YA PETROLI KUTOKA WIZARA YA
NISHATI NA MADINI ATUA TANGA KUANGALIA ENEO LITAKAPOJENGWA GATI KWA
AJILI YA KUSHUSHIA MAFUTA GHAFI


 Greda likisafisha eneo
ambalo linatarajiwa kujengwa gati kwa ajili ya kushushia mafuta ghafi


Mkuu
wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wa pili kutoka kulia akiwa na
viongozi kutoka Wizara ya Nishati na Madini walipotembelea sehemu
ambayo litajengwa gati mpya eneo la Chongoleani jijini Tanga kushushia
mafuta ghafi kulia ni Kaimu Kamishna Msaidizi wa Petroli kutoka Wizara
ya Nishati na Madini ,Mwanamani Kidaya kushoto ni Kaimu Meneja wa
Bandari ya Tanga,Henry ArikaMkuu
wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wa pili kutoka kushoto akisisitiza
jambo wakati walipotembelea eneo la Chongoleani ambapo kutajengwa gati
ya kushushia mafuta ghafi


Kaimu
Kamishna Msaidizi wa Petroli kutoka Wizara ya Nishati na
Madini,Mwanamani Kidaya akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya
kulitembelea eneo hilo leo
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akizungumzia namna mkoa huo
ulivyojipanga na fursa hiyo mara baada ya kulitembelea eneo
hilo

Kaimu Meneja wa Bandari ya
Tanga,Henry Arika kulia akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella wa tatu kutoka kushoto namna walivyojipanga
kutokana na fursa hiyo


Kaimu
Kamishna Msaidizi wa Petroli kutoka Wizara ya Nishati na
Madini,Mwanamani Kidaya kushoto akimuonyesha kiti Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella mara baada ya kutembelea eneo
hilo
Muonekano wa eneo ambalo
kutajengwa gati mpya kwa ajili ya kushushia mafuta ghafi
Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP