Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Aug 17, 2016

Mashindano ya Tigo Dance la Fiesta yafanyika jijini Mwanza
Jaji Jackline Cliff akitoa maelekezo kwa mojawapo ya kikundi kilichoshiriki shindano la Tigo dance la Fiesta jijini mwanza leo, Jumla ya vikundi nane vilichuana.Kikundi cha Mirambo kikionyesha cheche zake.
Kikundi cha TYT kikiwa mzigoni ndani ya ukumbi wa Villa Park. Mwanza


 Kikundi cha TYT kikiwa mzigoni ndani ya ukumbi wa Villa Park. Mwanza


Sehemu ya watu walioshuhudia mchuano wa Tigo Dance la FiestaKikundi cha Team Maximum japo hawakushinda ila walionyesha umahiri mkubwa.
 Vikundi vya Scorpion na warriors vikichuana vikali  uso kwa uso kuonyesha nani zaidi kati yao kwenye mashindano ya Tigo Dance la Fiesta.Kikundi cha Turn Kardi kilitoa vionjo vya michael jackson

 Kikundi cha warriors kikichuana vikali kutafuta ushindi wa shindano la Tigo Dance la Fiesta
Meneja wa masoko Tigo kanda ya ziwa, Alli Mashauri akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa shindano la tigo dance la fiesta, kikundi cha scorpion waliojishindia kitita cha shilingi milioni moja leo jijini Mwanza.
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP