Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Kampuni ya Mafuta ya Stat Oil ya Norway, Bw. Oystein Michelsen kabla ya kupokea taarifa ya maendeleoya mradi mkubwa wa ujenzi wa kiwanda cha kusindika gesi asili (LNG Plant)kinachotarajiwa kujengwa katika eneo la Likon'go, Mchinga Mkoani Lindi.

Rais Dkt. John PombeMagufuli akijadiliana jambo na Meneja Biashara waKampuni ya Stat Oil ya NorwayOivind Holm Karlsen (watatu) kutokakushoto mara baada ya kumaliza mazungumzoyao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Kampuni hiyo,
Bw. Oystein Michelsen. PICHA NA IKULU