Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Aug 11, 2016

Wapiganaji wa IS wang'olewa,Sirte nchini Libya

Vikosi vya mapigano vinavyounga mkono serikali ya Libya vimesema vimedhibiti makao makuu ya wapigani wa dola la kiislam katika mji wa Sirte.
Vikosi hivyo vikiongozwa na wapiganaji wa mji jirani wa Misrata, vimesema vinadhibiti kituo cha mikutano cha Ougadougou na hospitali kuu ya Sirte, lakini bado baadhi ya wapiganaji wa kundi la dola la kiislam wapo katika makazi ya watu katika maeneo hayo. Sirte ilikua na udhibiti wa hali ya juu wa dola la kiislam.


Kituo cha Ougadougou kufungwa
Image captionkaribu na Kituo cha Ougadougou

Vikosi vinanyounga mkono serikali ya Libya vilipata usaidizi wa ndege za mashambulizi kutoka Marekani ziliombwa na serikali yao

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP