Waziri Mkuu wa Singapore,Lee Hsien Loong, amesema kuwa mrithi wake awe tayari kuchukua madaraka baada ya uchaguzi Mkuu ujao.
Ameyasema hayo kwa njia ya Televisheni muda mfupi baada ya kuvunjwa kwa siku ya kitaifa ya kusanyiko lililosimamishwa kwa muda.

Badaye alizungumzia tukio hilo na kumshukru kila mtu kwa kumsubiri ili aendelee na hotuba yake, na kuongeza kuwa anafahamu kuwa kila mtu aliogopa kile kitakachotokea.
Ofisi yake imesema Bwana Lee anasumbuliwa na magonjwa ya moyo na upungufu wa maji baada ya kusimama kwa muda mrefu