Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Aug 20, 2016

WIZKID ATUA NCHINI KUTUMBUIZA TIGO FIESTA 2016 LEO JIJINI MWANZAMsanii wa Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid) akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza jana,wakati wa mkutano kabla ya tamasha la Fiesta,kulia ni Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Maswanja.
Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Maswanja,akizungumza jijini Mwanza leo wakati wa mkutano wa Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid)(kushoto) na waandishi wa habari,kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta Sebastian MagangaMwenyekiti wa Kamati ya Fiesta Sebastian Maganga,akizungumza jijini Mwanza leo,kushoto ni Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid) na Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Maswanja.
Wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Tigo Fiesta 2016 jijini Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja na  Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid) mara baada ya mkutano na waandishi wa habari mapema leo jijini Mwanza.

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP