Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Sep 30, 2016

Uchumi wa nchi za Afrika washuka hadi asimia 1.6

Ukuaji wa uchumia kwenye nchi zilizo kusini mwa jangawa la sahara unatajiwa kushuka hadi asilimia 1.6 mwaka huu kutoka asilimia 3 mwaka 2015.
Hata hivyo ukuaji utakuwa kwa asilimia 2.9 mwaka ujao kwa mujibu wa utafiti wa kila mwaka wa benki ya dunia ambao ulitolewa kwenye mji mkuu wa Ivory Coast Abidjan.
Pia uchumi wa mataiafa ya Afrika unatarajiwa kupanda kwa asilimia 3.6 mwaka 2018.

Uchumi wa mataifa ya nchi kama Tanzania, Ethiopia an Rwanda uliborekaImage copyrightGETTY IMAGES
Image captionUchumi wa mataifa ya nchi kama Tanzania, Ethiopia an Rwanda uliboreka

Huku mataifa mengi ya afrika yakishuhudia kushuka kwa uchumi, baadhi ya nchi zikiwemo Ethiopia, Rwanda na Tanzania zimeendelea kupata ukuaji wa kila mwaka kwa zaidi ya asilimia sita.
Mtaiafa yakiwemo Côte d'Ivoire na Senegal yametajwa kuwa bora zaidi.

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP