Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea taarifa kutoka kwa Meneja wa TANESCO wa Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Zakayo Temu (kushoto) kuhusu hali ya  upatikanaji wa umeme kwenye makao makuu ya nchi Dodoma wakati
alipotembelea Kituo cha Umeme cha TANESCO cha Dodoma Oktoba 2, 2016.
Wengine Pichani kutoka kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
Jenista Mhagama, Mkuu wa mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana na Mkuu wa
Wilaya ya Dodoma , Christina Mndeme.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)