Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Oct 14, 2016

Trump:kashfa ya udhalilishaji wa wanawake ni njama

Mgombea Urais wa Marekani Donald Trump amewaambia wafuasi wake kuwa shutuma za kukashifu wanawake ni njama ya kumfanya ashindwe uchaguzi wa Marekani.
Katika mkusanyiko na wafuasi wake huko Florida Trump amekanusha kuwa tuhuma hizo ni uongo.

Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea uchaguzi mkuu nchini humo Trump anaonekana kushindwa dhidi ya mpinzani wake Hillary Clinton.
Mapema mke wa Rais bi Michelle Obama amemshambulia Trump na kusema kuwa kitendo cha Trump cha Udhalilishaji wa wanawake ni cha Kushangaza na kutisha.

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP