Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akikabidhiwa kombe na
Kamishna wa Polisi Jamii Mussa Ali Mussa baada ya timu ya mpira wa miguu
ya Polisi Tanzania kuchukua ubingwa katika Michezo ya Majeshi
iliyomalizika hivi karibuni Visiwani Zanzibar (Picha na Frank
Geofray-Jeshi la Polisi).