Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), Mhe. Freeman Mbowe akihojiwa mbele ya ya kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kufuatia amri ya Mhe. Spika wa Bunge ya kumtaka afike mbele ya kamati hiyo kujibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge kutokana na matashi yasiyo na staha aliyoyatoa mapema mwezi Machi 2017 Bungeni Mjini Dodoma yaliyokuwa na madai ya kudharau Bunge.

 Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), Mhe. Freeman Mbowe akihojiwa mbele ya ya kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge 

Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mhe. Halima Mdee akihojiwa mbele ​​ya kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kufuatia amri ya Mhe. Spika wa Bunge ya kumtaka afike mbele ya kamati hiyo kujibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge kutokana na kutoa matusi Bungeni na kumtukana Spika, matamshi aliyoyatoa mapema mwezi Machi 2017 Bungeni Mjini Dodoma yaliyokuwa na madai ya kudharau. Bunge. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)