Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Ali Samatta akijaribu kuwatoka walinzi wa timu ya taifa ya Cape Verde na kuachia mkwaju mkali ulioipatia timu ya taifa ushindi wa bao la pili na kuifanya Tanzania kuibuka kidedea kwa jumla ya bao 2-0 katika mchezo wa marudiano uliochezwa hapo jana uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.

Kikosi kazi cha timu ya Taifa ya Tanzania {Taifa Stars}.