Rais  John Pombe Magufuli na mkewe Janeth wakiwa katika Ibada ya Misa Takatifu Dominika ya 34 ya mwisho wa mwaka leo Novemba 25, 2018, katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oyster Bay Jijini Dar es Salaam. Ibada hiyo ya sherehe ya Kristo Mfalme iliongozwa na Padri Projestus Marko Kahitwa.


…Akitoa sadaka.

…Akipeana mkono wa Amani na Masista na waumini wengine.
…Akikomunika.
…Akiondoka kanisani baada ya kumalizika kwa ibada.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Janeth,  leo  Novemba 15, 2018, walishiriki  Ibada ya Misa Takatifu Dominika ya 34 ya mwisho wa mwaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oyster Bay jijini Dar es Salaam. Ibada hiyo ya mwisho wa mwaka ya sherehe ya Kristo Mfalme iliongozwa na Padri Projestus Marko Kahitwa Novemba.

PICHA NA IKULU