Duuh kumbe Machinga ni kila kona kwa hapa Africa..!!Pichani ni wamachinga wakishangaa Camera ikiwasha flash kuwanasa.Wamachinga ni wafanyabiasha wanaokuletea biashara mlangoni kwako ni nzuri kwa upande mmoja na kwa upande mwingine wanachafua mazingira kwa mtazamo wa nchi.