Uwanja wetu mpya jinsi kwa nje unavyoonekana,nilipomuonyesha rafiki yangu mmoja toka Iraq alinibishia na kusema hii ni Old Trafford,nilihisi fahari sana kuona tuna uwanja mkubwa na wa kupendeza kiasi mtu anachanganyikiwa na kusema ni Old Trafford,Kimbembe pale aliponiambia nimuonyeshe viwanja vingine vikubwa...kama kawaida yangu niliingia huku na kutokea kuleee.